Friday, March 2, 2012

wewe ndugu yangu  wafuata nyayo za nani ktk maisha yako ya kila siku
habari njema pale unapokuwa na afya njema.
ila hii itakuwa habari njema zaidi kwako utaposikiliza wimbo huu na kuutafakarikwa makini